Chuo kikuu cha Dodoma ( UDOM ) kimeshiriki katika Bonanza lililoandaliwa na kudhaminiwa na Shirika la hifadhi ya Jamii la PSPF katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. UDOM iliyokuwa na timu nne za Football, Valley ball, Netball, Basketball. Timu za Football. Valley ball na netball zilikuwa nafasi ya pili kila moja.








No comments:
Post a Comment